The Kibaki Challenge?

[ATTACH=full]64699[/ATTACH]

[SIZE=7]U[/SIZE]

Mzee I am sure your heart skipped a beat ukidhani ni another case of corruption tena :D:D:D

hapana, tuheshimu wazee, kwanza huyu ametoka hosi juzi tu…

:D:D:D:D:D

Sawa kubwa. Jioni vipi lakini? Pengine ushajimwayamwaya uko pale kibandani kwa mama pima unajiburudisha na kopo lako la uji wa mtama?!

Hihihihi…

jioni poa rafiki. najituliza na jazz kidogo baada ya siku ngumu nikijumuika na wanakijiji kujadili yaliyomo nikiongoja masaa ya kulala…

hii ujinga umetoa wapi shemeji?

MUNGIKI MZEE LALA UWACHE KUTUSUMBUA

uliza mama cliche akwambie “Ruri itara ruthekaga rwi riko” ni kusema nini…

Shemeji enda u make sure ubwa simekula dio ukuje hapa kubweka bweka…

Shemeji mumemalizanaje na @Eng’iti?

Hapo sawa.

Wakanyama ana brain ya Morabou

engui alichezea wale wakali,he will never know peace

meffi kuja tupigane mzee mjinga

one day utatambua who is Don wakanyama

umesha sahau threat za @Web Dev? fuda wwe go threaten him not me. You Bush animal