The new dogo kundu road

kah tony

Village Elder
#10
Nairobi tulijengewa "super highway" na baba jimmy na whenever I'm those sides I ask myself watu wa hizi side kama wame evolve juu traffic bado uko bumper to bumper.

Ngong road same shyt bado homo sapien hazijajua kutumia barabara.