bye bye jomvu-mikindani jam
[ATTACH=full]175624[/ATTACH]
molto impressionante!
Samahani lakini sijui naona kama kuna tofauti kidogo baina ya udongo na udogo.
[ATTACH]175625[/ATTACH]dec 2017 on the way to sgr terminal
senior turnboy ni mtu wa bara
Washana naye hii ni Kikuyu originally from Kiambu.
Niaje fillage mbeauti
Is it open to all traffic from the island au ni watu wa kutoka port pekee
Huyo ni uwesmakende. Chunga mkia
Nairobi tulijengewa “super highway” na baba jimmy na whenever I’m those sides I ask myself watu wa hizi side kama wame evolve juu traffic bado uko bumper to bumper.
Ngong road same shyt bado homo sapien hazijajua kutumia barabara.
uliza Odongo:D:D:D:D
:D:D:D:D:D
Good to go
Thanks for info, next step was inbox
Are you trying to insinuate that he’s talking of a small kundu?
Inafika Likoni kweli?
Ingia gugu maps uangalie map ya mombasa, shenj
Ng’ombe najua the whole bypass is supposed to connect to Likoni, but hii first phase imefika wapi?
Port reitz
Hiyo ndio picha ya kipekee umeona unaweza tuwekea