so sparta wamemaliza high school…all happy and exited and also horny AF.
Tukafanya academic fire kama kawaida pale KARURI 106…sasa form ilikuwa kuenda after party all the way to gachie,sparta na crew yake na madame wa karuri high school na muruthwa girls…yani hii siku tulikuwa tumesema nikuchafua.
tukafika gachie around 6pm…wasee tukachangaa chapa,na mitungi nne za muratina zikaendewa …mtungi was going for 1000ksh…halafu mizinga za kenya cane, iyo time hatukuwa tunatambua wine ati za slay queens…
then bhangi zilikuwa plenty, na kachavesh…
kumbuka we were all in uniform over 40 student in one tiny cubical, na hakuna mtu amekula
after fombe kufika tukasema kenya cane zote tunarusha kwa mitungi ndio kashike vizuri
we started vizuri dancing in the small space we had, na wengine kuchapana mate…
soon watu waka anza kelele za walevi na kupiga nduru…the host mother anakuja kutushow tupunguze kelele na sauti ya radio, tunapunguza kiasi then after a while reggae ikishika tunaweka full blast
kuna jamaa alikuwa anaitwa sogori aliomba slice kwa dame anaitwa karen, sasa karen alikalia sogori na humping ikaendelea pole pole, sisi wengine tunameza mate tu:(
mtungi ya tatu sasa ndio watu walianza vituko washalewa hadi kutoka nje na saa iyo ishafika 9pm…
kutulia kiasi tukaona intruders maboy wa mtaa wamefika,kumbuka ata hatutoshei uko,maboy wanadai tu kupewa glass moja moja waende, mimi sikuwa na shida na iyo.
lakini maclassmate wakadai apana hii pesa tumechanga hakuna za bure apa, maboy wakatubeg lakini students hawakukubali:p
kumbe hao maboy walishika nare na jamaa moja aka chapa jug ilikuwa half full ikamwagika…apo jamaa wakamchapaa makofi na akajitoa, na sisi tukaendelea na party…:rolleyes:
sasa hii fala ilienda ikakuja na back up goons na mapanga:mad: sasa walikuwa apo nje hawakuingia…nasisi tukafunga mlango tukaendelea na party. sogori bado anakamua mzoga yake pole pole, sasa ilifika around midnight na fombe ilikuwa karibu kuisha watu waka suggest tuende one stone, a local pub in gachie market ile inauzwa KEG …
BHAGI Ilikuwa imeshika mbaya na one guy ule alienda kufungua mlango alipatana na karao na kupigwa pigu, sisi kuona ivo sasa nikumeza evidence mtu yoyote alikuwa na bhangi na kachavesh ni kutafuna na kumeza…
we were all arrested na tukalala kihara county jail over 40 students kila mtu alitoka na bail ya 1k, hadi tukaletwa kwa local news :mad: the chief that time was called KAROMO