The Okari Effect

Huyu mkisii amefanya supermarkets mingi zifungwe bana. For this month meat sales will go down drastically. Lakini next month wakenya wanarudi huko huko.

watakuwa wamesahau . nimeona watoto wangu wanakula nyasi proper hakuna nyama

:D:D:D:D:D

wacha wakule nyasi kidogo. Saa hii nzi ndo KEBS sector ya nyama.

Naivas imefunga meat section banae

Mimi sitambui. I am a meat lover and my consumption habits wont change.

Uongo. Nimenunua nyama huko leo. Lakini zimebadilika rangi kidogo. Saa hii nimeona ni nyeusi kidogo.:smiley:

Today I bought 1.5 Kg of topside pale Naivas ya Ridgeways. Okari is not a lab technician.

Wewe Ni Savage kweli uogopi…

:D:D:D Kitu niliban kwangu ni sausage na kuku za supa.

Sausage (na brawn and other processed meats) were officially registered as a carcinogen a few years ago. Halafu hizi kuku za supa zilikuwa zinawekwa formalin (formaldehyde) ambayo ni carcinogen pia…na hata zikipikwa you could smell it.

Lakini sulfite? Hiyo hata nikiwekewa kwa chai nikionanga nitakunywa na niende. Lakini they should control the amount they are putting.

What me and my family don’t eat

Nyama- red meat
Watermelon
Cabbage
Sausage ama bacon
Njahi
Kuku bila kichwa
Samaki za Dam
BiluBand
And any other harmful things that people call food

Watermelon imefanya makosa gani?

Ilifika uluhyani when I was too old, some middle aged parents still think ni malenge

Hata Mimi apan tambua malenge na water mellon

It’s a good thing. Beef in itself is not good for your health, now with the addition of these chemicals ndio mnasikia a lot of colon cancer cases.

The human gut is too small for a herbivore. That means the human body is not designed to be a herbivore body. Si wewe uko na canine pia plus hiyo short gut? Sasa kama kusema yule alikudesign aliexpect utakula nyama na wewe unakanusha? Heheheeee…

Homo sapiens pana designed herbivore.

:D:D pia wewe unafikiria hivo?

Where do you leave out the cooking part idiot.
Carnivores can’t cook, humans do unless you eat yours raw.

In this case it appears that you take water for breakfast, lunch and dinner!

Ugua pole ndugu:oops::oops: