THE ONLY TWO THINGS THAT CARE ABOUT A MAN NI JUA NA MUNGU.

Mwanangu maisha is a hard thing, infact ni shule bila mwalimu-you lear alone. Ukiongeza life bila connections hapa kenya inakua kitu bladfacken. Mamen nilikua nmekaukiwa hadi nkaanza kuwa mtu bladfacken. Nilikua down to earth like omosh wa tahidi, luckily sikua high .If i had the chance, ngepika picha nikiwa nje niseme kaka kanifukuza kwa nyumba, nadoz nje, Twitter community wakam thru. Nakumbuka mama alinpigia anataka 500/= anunue dawa, mfukoni nilikua na 50 bob. Nile chapati 2 kojolea lunch na super likewise.Nilienda sokoni kutafta dili, hazikuningiana. So around 5 naenda zangu ome, mkojo ikanikaza. Brokeness haingeallow choo za kanju so nkaamua niwe God ni irrigate. Hata sijamaliza kanju wawili nyuma yangu “twalipa watu watrim na kuwater hio fence ilhali wewe wakojoa hapa mmanina zako?“Mkojo ikaisha, nikasahau shake well after using. Nikabambwa nikatiwa pingu. Mfukoni nilikua na 30. Wakasema “unachakujitetea au ukaseme na jaji”. Kuwashow niko na 30 hawakuongea nami tena waliamua wanipitishe police station kurepay a favor they owed. That’s how I became shit.From irrigation nilienda vacation police station without any intention. Siku mbaya ni mbaya tu. Nikajaribu pigia bro, yule mrembo wa saf akadai “sorry u do not… Bla blah” nikakata. Okoa jahazi nilikua tayari nadaiwa. Bonga redeem not available at the moment. Before i… Simu ikazima.Boychild in trouble. Nikaingizwa cell, nikapatana na mateja wanne. Nikaketi pale ki Mike scotfield thinking about prison-break. For once I had a break for life.
Msela mmoja kaniuliza"oya dogo, wankuletea nni?” nikawaeleza.” usmind dogo, hujaua, hujapiga mtu wala kudhulumu"“wao wenyewe wankojoa mahali popote, sasa walitaka ujikojolee?” nikaanza kua motivated and inspired. Thats how Desperate I was. “mwanzo hapa twala lunch na super bure, jipe morali.” baadae nikaelewa walishikiwa ulaghai wa karata kwa wananchi. Kidogo karibu saa tano usiku bado hatujala. Polisi mmoja akaja “wapi hio kijana ya kukojoajoa kama ngombe?” nainuka mentali nmesamehewa. Waliniuliza nna pesa ngapi nkasema 30, nlizabwa kofi nkaona olomide, kisha akasema “andika hio nyangau imepatikana ikivuta bangi, hana id na–anakojoa kwa gate ya mkubwa” nkaregeshwa cell. 15 mins sima ya maharage ikaja, haijakaangwa kila mtu anarushuwa yake kama mbwa. Soja akaenda zake. “oya msenge wewe leta hio chakula kumamako” waliniamkia wote wakaichukua. Kule ukipiga nduru polisi akuasha kibao. Masela wakala.Wakaanza sinzia “we dogo ulale huko karibu na ndoo”. Ndoo= toilet. Kunguni nao wakaamka. I was among vampires in food and blood. Odour+kunguni+njaa= sleepless night. Next day nilikua nione jaji anipe kifungo changu, shati yenyewe ilikua na vifungo 3.That moment nikakumbuka T-bag, nkasema kwa roho msenge hanigusi labda niwe maiti. Nikakohoa “kumamako mbweha wa kike ukiniamsha tena nakufanyizia” nlihold kikohozi hadi morning. Saa tatu tulikua kotini. Soja mmoja kabla tuingizwe mahakamani akani uliza noma. Nikaeleza, naishi solo,Mmi ni yatima na sjakula two days… I thought atansaidia. Akasema “Sawa nmesikia” niggas no one care about yu maybe not even your family. Na kama ni kushinda sio kesi. Labda ushinda njaa. Pale mahakamani makesi ya kipetty ndo yalianza. Kitambulisho na ukahaba in wrong places.Kisha ikafika mmi. King of petty cases. “Hamisi unashtakiwa mnamo… Ulipatikana ukikojoa kwenye geti ya Ikuli huku ukivuta bangi, unakubali mashtaka au wakataa?” mwanangu nkatingiza kichwa. Jaji “sina mda muda wa kupoteza, Ndio au La!!” kwa macho makali… Kila mtu kimya.Nkajibu kihuni “kukojoa nlikojoa lakini bangi sijui na sjawahi vuta maishani mwangu” felt like a lawyer. Polisi akaulizwa kama kuna evidence ya bangi, akasema nlitupa.
"wapigwa faini ya 1500 au kifungo cha wiki tatu shimo la tewa ili upate adabu."nyele zlisimama, chozi latiririka. Nguvu zliniishia nkashindwa kutembea, who cares! Nlibebwa juu juu hadi kwa cell polisi akisema “hapa hakuna mamako” cruel world. Masele pale walisema ntaacha kuwa hamisi to mwanahamisi in prison. You talk of bullying in twitter thats nothing. Saa nane twapelekwa shimo.Njaa na uwoga nilitetemeka hadi mboo,nliishiwa na mate. Ndo nkamwona mjomba yuaniulizia nkamshw ni 1500, that day i saw Jesus, but maybe he was Gabriel. Aliambiwa lazima akalipe kwa bank aje na reciept, na tukaekwa kwa gari tupelekwe maeneo. Kufika bamburi nilianza itwa mwanahamisi. Masela wakanitungia wimbo “mwanahamisi huku misri, hana kamisi, hivi atakula mboo, mtoto mzuri tena mwepesi, mwanahamisi” x3. Never been that traumatized. Tukafika shimo, twapigwa search ili tupewe jezi man u ya away. Hapo ndo mjomba akatokea. But still hakua amelipa in full.Walipiga mpango na jaji nifagie police station for 1 week. Mwanangu hata kama ni mwezi ngefagia. Nkaachiliwa. Place tulipata fud nlikula chapo sita maharage. Na njiani nkala mihogo. Mbili. Nlikua narauka station kama mwanafunzi. But its worth my freedom. Men stay strong :heart:.

hii bladfacken ni refu banae

Mtu alete summary in 10 words. Hatuna time ya kusoma v-monologues kama zile za Kapondi.

Ata paragraph hakuna.

ukweli tu cjasoma but niki retire 2090 ntarudi nisome

Ghaseer

Inakaa ni hekaya kuhusu boy broke alikua anataka kudish chapo mbili za mbaula akashikwa na makarao kisha akapewa freedom after kufagia akaenda akisemaga “Men stay strong :heart:

Good story.
Harden up elder, this life ain’t for the fainthearted.
Wishing you well in your endeavors.

Wah ! Pole Sana kaka kwa yale yaliyokupata.

Mum, Weka summary

Noma

Anajiitaa @Kwotinde

Mwanahamisi dude laja!! Wewe walikua wamekupangia makuu.

Pole kwa yaliyokukumba kaka.
Mambo yatabadilika, soldier on

…lakini sasa msela mambo yako vipi ama tukufanyie Kenyans for Kenya, masaibu yaskupate

B “mwanahamisi huku misri, hana kamisi, hivi atakula mboo, mtoto mzuri tena mwepesi, mwanahamisi” x3."[/B]

ningekuambia kojoa ulale but umeshaakojoa kwa ikulu

hekaya on point

Enda sasa studio utoe hit bladfakd up

Nice one