The Real Story

Apparently jamaa alimaliza campus akaamua hapana tambua nyanya ya kuchuna majani chai. Lakini mbona wanaume tunajichanganya hivi. Can tell you these are three people dead. Huyo jamaa pia atakuliwa na stress na bibi yake mpya aambukizwe.

[MEDIA=facebook]10156392915766859[/MEDIA]

Unasema nini?

Huyu dem alijinyonga
[MEDIA=facebook]1144868335692321[/MEDIA]

Can you please redo your composition so it makes sense.

Makamasi unajaribu kusema nini hapa?ama umekunywa busaa?Endea school fees yako,kumbaff!

Alijinyonga kwanini

Elezea kwa mtiririko unoeleweka.

Makamasi kama @MikeOck

Next time piga screenshot kabla mtu adelete.