The standard group dismisses APOLOGY

Meria Mata

Elder Statesman
#8
Kitu inanishangaza ni ati kuna watu bado huenda pale kwa gazeti vendor, anachambua headlines, anachochwa kiasi na muuzaji gazeti, alafu mwishowe anatoa 50bob (or whatever the f**k newspapers cost nowadays) na kuenda nyumbani na karatasi full of stale news. In 2019? Can never be me.
i remember them days would buy the sunday nation coz of whispers and popeye cartoon na Flash gordon
 

Top