The Thief in ME

nimepitia ma high and low kibao maishani. Wa! Kuna vitu yaani nimepitia Siku nitakua na matym ya kuziandika mtaona nikama fiction. So siku moja niko kwa msukumano wa maisha na nilikua low low kama chini ya mkeka. Mbele nyuma nilikua na chwani ya coins na sio mbao mbili na kinde, tukobole tu tatu na Bob za tharte fae. Kejani kitu ilikua ni chumvi, majani, na shuge vijiko ka mbili. Nimeshinda kibaru ya kutafuta kibarua na sikupata any. Nimefika keja nimechoka na ubao fyam! Nawaza nipike ka strong tea nikunywe na mandao mbili lakini nashindwa nikitumia hiyo shuge kesho uake nitakunywa nini asubuhi nikienda kusaka works? Na nikitumia kinde kubuy mandao, hesabu ya supper itakua aje?

Nikadecide na hiyo ubao yote, nipige shower kwanza juu nafikiria vumbi yenye nilikua nimeokota day mzima pia inafanya nisifikirie. Maji baridi kwa karai (by the way sipendi maji baridi hata kidogo) nikaenda kuoga. Hakuna venye ningetumia stove kuwarm maji…mafuta taa iishe nasijui siku works itapatikana tena? Strong tea iwe inapikwa na nini? After kuoga nikakaa chini nikajiita ka mkutano na silent partner wa me, coins zangu. Nikasema hapa nahitaji kupanga supper na breko juu hakuna vile nitatoka keja na ubao. Kama hujui, kazi ya kutembea tembea hufanya mtu ashikwe na njaa mwenda. Hesabu ikaingia hivi, form ni kubuy githeri vikombe mbe, na mafuta ya kinde ya kukaranga. Yes! Itakarangwa bila kitunguu lakini lazima ikuwe na viazi ndio ishike tumbo. Trust me, ukishinda njaa, githeri cup jamo ni snack. Nikaangalia matym nikaona ithaa ya rush hour kwa kale ka soko kalikua kanauza githeri na cereals bado. So nikategea mpaka ithaa.

Kitu 7:30 Mimi huyo nikachukua paper bag nakuweka ma paper na takataka zingine tuu hapo za wana za kuweka weight. Nikafika kwa ka grocery, kako busy vile nilikua na hope. Nikaambia Hugo matha aniwekee githeri sa hip nimejibanza kona yenye mawaru ziko. Kuna watu alikua ana shughulikia mi nikamwbia awamalizie tu na juu nilikua regular watu wengine wakikam, anawashughulikia tu. Huku ananirushia ka smile akiniambia nisijam atanipimia githeri yangu. Hajui mi mawaru zinaingia to kwa juala mos mos, hata kitunguu ilidunda ndani sijui aje.

Kidogo pakakam mtu anataka maharagwe so ikabidi tuu aingie apime cereals. Akaniwekea wa kwanza, na nikakula bahati juu ilikua ya mwisho so nikafagiliwa yote, nikampatia coins nikajitoa. Nikarudi keja nikachonga mawaru zangu nikakaranga githeri. Wa, hiyo food si nilikua mob! Nilikula supper, breko, na ikabaki ya hiyo supper ingine.

Nili ingia bed nikasema kweli taabu inaeza kufanya ukue ndingo, nikashukuru Mungu sikubambwa, lakini nikambia Mungu asiaje niweka kwa hiyo position tena.

Nomare…

Maze hiyo ilikuwa Noma kuruka!

Unatupeleka na rieng.

Aisee, life manze…

shida hufanya Ali anakula nguruwe, heshimu shida

husiwai laumu mwizi wa shamba Arror, sababu nyinyi wote ni kitu kimoja hamnanga subra wakati wa dhiki.
ungeambia mathe akukopeshe hayo yote kila siku na akungoje muda wa ata mwezi mmoja, hangekata ju hesabu yakila kitu ilikua chini ya soo moja badala yakum’ingiza loss kiholela.

Alikua hakopeshangi. Kuna siku hata nilimshow nikae day moja nisaidie kukata skuma anipatie food tu, akaniambia hakukuja Nairobi kuzindikisha watu. Lakini nimejua hujawai umwa na njaa.

sawa aina neno, lakini ile siku mungu alikuwezesha kuanza kukafunga bila kurudi nyuma kimfukoni ushaimrudishia mkono washukurani huyo mathe(ata na thao moja)?

Iza manze…watu hupitia mambo…but lazima uwe strong

kila mtu akianza story yake kama hii tutakua na megathread…watu hutoka far…sande @Mboch Kiburi

Umenikumbusha mbali Saanaa. Nkiwa kawangware Congo mambo Ilikua ngumu.asubuhi uko na vijiko tatu za shuge tu, so unaweka kijiko moja ya shuge kwa sufuria iko kwa moto inamelt then unamwaga Maji ndani inakua chai.ikiiva Unaipiga tap kama vodka then naingia hustle. Anyway mama Milka wa kibanda aliniokolea Sana. [SIZE=2]pia aliseficha Mimi mecho [/SIZE]

Haha una bahati, kuna time nime dish ugali na strong tea for one week pale mlango kubwa, hadi macho inarudi ndani lakini I was thankful kwa kubeba unga toka ocha na kununua mafuta mob na ile jerrican ya 10 liters.

Never ever. Nili travel tym moja na pick up nahuko engineer, nikarusha waru ngunia mbili na cabbage ka forty na carrots gunia moja nikapitia kwake nika drop. Alishangaa hizo ni gani. :smiley:

Ndio maana Leo hii sitakangi MTU acheze na pesa yangu. Na sichezangi na pesa za wenyewe, juu sijui mtu amepitia mangapi apate pesa yake.

Alafu after hip hustle yote uone ka bitch kakicheza na pesa yako. Ama ugali ikibaki anairusha kwa dustbin… Aki ya!!!

aviator tulia

Aviator ni…???

Kuma mzee

Tafuta bait ingine:p