The thrill

leviathon

Village Elder
#1
So hii singeweka ile mtaa mimi hupenda ya hekaya!Hapa iko irie tu.....

So I usually do music on the side nkichapa kahussle,muhimu.Reggae ndio fav muzik but I rap.Kuna venye ulimi iliamua kijana aroge na Im good at it,maybe soon mtaniskia

So 2weeks ago mimi na mjango si huroga tulikua invited studio(undisclosed lokeshen)tuangushe fire kidogo kwa track ya a hiphop vete!

After macookie na moshi na kuclear throat na brandy,tukadestroy mic na tukajitoa.Producer akaamua kutupiga push.Kidogo akasimamishwa na myellow hivi since tulikua tumechoka na the two of us tulikua tupande mat(vete alijitoa juu hakua anaback tao)tukatembea.Kuchoka na tuende kusalimia watu!

Producer ametufikia akasema dem ameseme ule ana kofia agotewe.

I am a man with a big ego I love making the first move but hawa madem sikuhizi wameamua!Alichukua namba yangu kwa producer sai ni mabox ananiingiza tu!

I love the thrill lakini ya dame kutry kunichinjia.......
 
#8

Kijana, ukipendwa pendeka!
 
Who will win the 2022 elections? Ruto vs Raila.Cast your vote!

Who will win the 2022 elections? Ruto vs Raila. Cast your vote!

Top