The Tweet

fakalava

Senior Villager
#15
Kusema kweli sina amani kabisa kama nilivyokuwa enzi za home. sio siri ugenini pagumu. Kwanza hapa nakosa jukwaa letu lileeeeee la "wazee"
Kweli kabisa huku amani hakuna, ila mimi nimeamua kula nao sahani moja mpaka watie heshima.
Jukwaa letu pendwa tunalimiss sana, naona mods wanasuasua.
 
Top