The two people I will never kwichi with are housemate and workmate

Hawa watu wawili nitawachukulia kama ndugu tu, house mate mkisha kwichi na mapenzi yakiisha, hakuna atakae kuwa na amani. Ukimaliza kazi unawaza jinsi ya kurudi nyumbani.

Workmate, asubuhi ukiona tu jengo la ofisi unakumbuka ile text message ulioambiwa jipange mimi siko na wewe ki vile.

Yaani haya mambo yapo kabisa kwenye jamii. Sasa hapo ipi kidogo afadhali?

Aiseee

dah hyo text inauma dah:):):):):stuck_out_tongue:

Hiyo aibu inatoka wapi kama ulidhamiria kufanya hivo??

Yanasikitisha sana…

Cc: @Mahondaw

Ni ushauri kwa wadada au hata wanaume inawahusu?

Hata wanaume inawahusu

Wanaume wataona kama methali ya mchagua jembe

Kwa upande wangu nakubaliana nawe 100%

Kutembea na workmate ni ujinga wa kiwango cha lami…kwanza unaishi kwa kujistukia eneo la kazi

mbona mi naona poa…lakini wanajipendekeza wenyewe

Ni powa kile kipindi cha utamu wa chungwa lakini ukifikia ugwadu wa limao

hakuna namna kama uliendekeza tamaa unategemea nini?

An Affair with workmate is more embarrassing and will make you uncomfortable until you leave the office for another work somewhere else,its not recommended and will be more worse if you are the boss and the workmate is a sub ordinate .For the house mate is also bad but there is an easy option of firing her/him and get rid of the left over for good.

Hahahaaaaa…

Wewe ni mwanaume…maana nyie hata ofisi nzima mnaweza funua

Kuna Mwanamke alishafumuliwa na ofisi nzima

Mamalishe! Wasambaza bytes Maofisini! Housemate! Cleaners! Canteen/cafeteria servers! Kuna watu huwambii kitu kwa huduma za hawa watu!

On women side Mkuu, kwa masela fresh tu tena kama ulimpa mGegedo wa mbwa koko hahahaha unatembea kifua mbele kama umepigwa ngumi ya mgongo.