18+ There are things I won’t entertain in my house when I get married

Mpenda

Village Elder
#1
Siezi nunua githeri ya barabara nikiwa bachelor na bado nikule githeri ya barabara nikiwa na bibi.apike kwa nyumba..

Siezi kula sukuma imekatwa Katwa na mama mboga na Maji chafu na nikule iyo iyo sukuma nikiwa na bibi aoshe vizuri kwa nyumba na akate Kate..

Siezi kunywa breakfast kwa hoteli nikiwa bachelor na bado nifanye hivyo nikiwa na bibi aamke mapema aandalie mzee kiamsha kinywa.. ni hayo tu kwa sasa
 
M

Mrs Shosho

Guest
#8

Pray may I asketh...what will your contribution to the union be? yawaaaa
 
Mawaya

Village Elder
#9
The only meal wifey knows with certainty I must take in the house is breakfast.
Mwanaume gani huenda kusumbuana daily na bibi ati ooh mbona githeri leo supper, kesho mbona mchele, kesho kutwa mbona ni ugali bla bla bla.
Huyo ni mwanaume bwege.
Kula huko nje, wabebee kanyama kao ingia kwa nyumba na kulala.
 
gosh

Village Elder
#18
Hawa watu ushinda kututishia huku ati utatombewa bibi hebu sikizeni. Kama ulioa kunguru pambana na hali yako. Mimi natake time kutafuta bibi mzuri. A God fearing, modern but reserved, well educated, crafty and compatible. Mtu najua nikiamua kusettle down hatutasumbuana. Mkamba tu ama Mtaita amecool. Mungu anijalie.
 
#20
Any sane man or woman who takes their time does intimate to the beloved about hates and likes. Conversely, one should also find out about the same from the beloved.
Our OP is single na anakula kwa kibanda. And most likely,when chasing the skirt, he will take it to the kibanda,restaurants and stuff... And skirts are fast learners akiona hupendi kukula nyumbani,ole wako. She won't start cooking coz amekuwa resident female. Infact,she will demand a few more thing in addition to not cooking....
 
Last edited:

Top