Thermos takes a groundie

Accident involving oil Tanker along Kilifi Malindi Road
[ATTACH=full]254465[/ATTACH]
@MISCHIEF naona watu wa chumani ni wajanja mmeingia mstuni, not one jerrican in sight
Niletee monkeys mbili

:DJerrican ziko huko ndani kwa minazi na mangroove na wenyewe?

Hapo chumani inzi ndio walevi kuliko watu. Ukialikwa mnazi? The flies!

hehe, unaona @pamba ameamshwa chap chap akasahau kuvaa kavunjaa akatoka na yebo yebo, much respect to our men in uniform, labda alikua night shift na saa hii yuko hapo

tuliambiwa inzi ndio KEBS bro, kaa hakuna inzi usikunywe hapo, ni chemicals tupu

it is a very small world.mwenye iyo kcn ako supposed kuwa conference flani meru

Shait cheza chini

weee mimi hiyo picha ningekuwa naipiga kutoka pluto sigwesi karibia hapo

Iza…nitapunguza font

:D:D:DLabda bado ako conference Meru ni gari ‘amekomboesha’.

ndelefa tafuta miwani. Hiso sio yebo yebo ni safali mboot