These people

Nairobi county nominated mcas. [ATTACH=full]251912[/ATTACH]

Kweli?? Wote ni wamama apart from that 2nd image?? Nominations need to stop. It is a pointless exercise.

And what are their roles these nominated MCAs.

And the question then arises : By creating nominated MCA positions we created EMPLOYMENT!! :D:D

It is somewhat true.

Hao wamama wanasomesha watu. Wana employ watu. Wamefungua businesses.

Swali nyeti. :D:D

Also if Kamlesh Pattni steals kshs. 3 billion from a corrupt government.

But then builds a hotel that employs 1,000 young jobless Kenyans, is that still corruption? :D:D:D

Is that corruption or Robin Hood distributing proceeds from thugs??!

@1776

Hawa wamama wamepewa mapoliticians wengi slices without string attached

haha mse! mwizi afungwe. he cannot profit from his theft. and he must pay a solid heavy fine.

uliza wasee wa enron vile vitu huenda. find a video called “The Smartest Men in the Room”. Trust me my brother you will enjoy it.

Wewe mwenyewe umewai iba? Hata kama ni 50 bob ujue ni corruption, ni stealing?

You have never bribed a cop?

You don’t over quote ndio ukule bakshish?

Or use faulty scales?

Ama corruption is for Ruto and Ruto alone?!

Deal nimechapa yes. That was a long time ago.
Bribed a cop yes. That was around 3 years ago. In fact I didn’t bribe him. He took my money.

We’ve all done funny things kwa dunia hii but inafika mahali unakumbuza miaka yako and unawacha.
Lakini we can’t justify theft because of the RObin Hood syndrome. how about making the business environment such that thriving is as easy as waking up in the morning?

Is your car in perfect working condition as required by Kenyan law?

Kama saa hii labda side mirror iliibiwa two months ago… ama your tyres are worn… but bado utaenda hio uhikii. Ukose uchekwe?!

Na ukiingia bara bara unaambia bibi, “Aki Ruto ni mkora unajua ameharibu…”

Na wewe na hio cracked rear windshield… wewe sio mkora?

With that expired DL wewe sio mkora?

Ubaya usimamishwe na the “corrupt” traffic police. They are corrupt because they will ask about the windshield and the side mirror na hawafai… :smiley:

Wengine niliskia wakisema juzi waliiba stima zamani. Zamani sana.

Kuna mmoja hapo nimekula sana back in 03-05

ngoja nimalize hii “mayayi” na mkate na kahawa nikuonyeshe vile i am fully compliant with all laws pertaining road.

if there is one thing i HATE (other that KNH) it is kusumbuliwa kwa barabara. My car saa hii haina insurance (4 days now) and I haven’t touched it.

but i get what you’re saying. it is easy for us to point at others lakini pia tujicheck zile vitu ndogondogo tunafanya juu we are all guilty of one thing or the other.

KENYAN MENTALITY :

Example 1 :You will find a Kenyan shouting, “Wah Uhuruto wanaiba sana sana!! Too much.”

Na ameketi kwa ofisi preparing a tender or a project proposal.

Umwuulize, “Boss kwani hizo biro umeandika hapo utanunua Mars? 500 bob per biro?!”

Na atakujibu, “Wewe baki hapo na ujinga yako. Ndio maana hutawai jenga!! Hii Nairobi ni kutafuta. You must be very smart!! Sio ushikwe mkono uoneshwe. Even the Bible says work smart sio uishi na mashida… kwani hizi Prado si hata Mungu alisema hata sisi tuendeshe! Siwezi kula shida na niko na akili na kuko na pesa!”

That same week Uhuru is on TV castigating cowboy contractors looting govt. Lakini sio wewe anaongea kuhusu… of course ni Ruto. :D:D:eek:

Example 2 : A Kenyan like Sani knows corruption. Hadi SGR anajua fact zote.

BUT then says Ruto anaonewa. Ruto is the only one who can stop corruption. Or Matiang’i is the only one who can stop corruption.

Unashindwa, but si Ruto ndio second in command?

When signing of SGR financial documents is happening, Ruto is right there!!

Kwanza ni yeye anaambia Uhuru, “Hii kitu jaribu tufanye haraka. Ten years sio mingi!”

The Finance Minister is Rotich. Ruto ndio anamwambia ,“Yes can they give us even more cash for the train coaches? Na ukumbuke hotel yangu ile lami nilikuambia last week.”

Sasa ukisema he is the panacea for corruption what in the world are you talking about?

Matiang’i is there in that cabinet meeting.

Na anaambia President, “Everything is tayari for the Chinese. I will give them two thousand extra officers and one thousand patrol vehicles!”

None of them asks, “Hii pesa si ni mingi sana mkubwa?”

Kila mtu kwa hio meza ako na wish.

Ni kazi ya serikali na individual parents kusomesha watu, sio nominated mcas