Mimi Ile nugu ya western nimekunywa busaa kumbe @Abba anongeza maji nimeamua kuwa prodigal son nirudi none mazee kidogo nitapata wapi mratina IL fine bangi niko na shashamane ya Ethiopia… Kyuks WA huko saidia jangili
Aaai mzito @Russy busaa hauwezi ongeza maji kwa busaa…same as kuongeza maji baridi kwa uji ambayo imeiva…:D:D:D
Cheza chini hio kitu iko fiti sana:D:Dkwanza ukichapa goro goro uende kwa jua kiaci
Mimi sio mungich. Aongee na @Motokubwa resident jack of all trade. Amuuzie recipe ya kupika muratina na mûkoigo.
Ni uraruiree dithemba wa nyinaa