Tumepitia mengi: Back in early 2000s, nilikuwa na hustle town doing a freelance job ya sales. Rent used to be 1,500 in Mlangoo. Manze si one time nilikosa rent for 2 months.


.
Landlady nilikuwa namhepa by leaving very early and coming in very late during the first 10 days of the month. Siku moja on or around the 14th, i was in the keja cooking some Ugali. Nimespin hiyo Ugali mara nikaskia knock kwa mlango. Surprise nayo! It was the landlady na Maboyz wake(grown up drunkards). Kujaribu kumsikiza angojee kesho yake, ati ndio siku commission zangu zinalipwa, mathee hakuskia. Wakaingia kwa nyumba lakini hakuna kitu valuable wakebeba. Those boys walienda na hiyo stove kaa inwaka pamoja na ugali


. Ni vile nilikuwa jaa!. Ilibidi niende kwa jamaa wa Mturaa akanikopesha ya finje.
Following day commissions zililipwa nakamsort. Lakini hawakurudisha stove yangu bana!

. Sikuwai pika tena kwa hiyo nyumba mpaka ile siku nilihama.