Thinking Out Loud

Lakini shetani ni mbaya sana. Saa alikua anajaribu Yesu ati abadilishe mawe ikuwe mkate? Tungekua tunajenga manyumba na nini surely? imagine unashindwa kulipa rent, Landlord anakuja na chai anakula nyumba yake unalala nje

Huko kwetu tunajenga na bricks…yaani matofali

@Micymas punguza bangi

F*ck. Opioids ziko nyumbani?

hii ni joke ama ?

NOOOOOOT FUNNNY

zako zimeshika mbaya ,enda tu home ulale

I laughed because of the absurdity

tuliona kenyatta senior akiwa wapi watu nguyaz?

akiwa capenter

It’s funny… I’ve laughed