This cummin Sunday

It’s gonna be lit.

[ATTACH=full]16836[/ATTACH]

8 Likes

[ATTACH=full]16846[/ATTACH]
Arsenal fans wenzangu tuko pamoja? ndio Olympiacos walitukamua lakini Sunday tunapea mtu 2 hot slaps na sweep COYG

4 Likes

Arsenal haitachapa man united hii wikendi unless ndotoni then ni possible

1 Like

sunday kutoka saa nane itakua football heaven

[ATTACH=full]16850[/ATTACH]

4 Likes

[ATTACH=full]16851[/ATTACH]
mush mush better

5 Likes

In other words pombe

2 Likes

noma sana too good to be true

Woooooiiii arsenal mtalilia chooni mkichapwa na manchester…wacha sasa kuficha sura after hiyo hamtatoka dressing room

when the football stars align…you gotta watch just like an eclipse

it is safe to say wata-Groania kwa pitch

Exactere wata riria uwajani

1 Like

Lewandoksi vs his old club Dortmond where Pierre-Emerick Emiliano François Aubameyang ,this week became the first footballer to score in seven consecutive matches from the start of a German Bundesliga season.

1 Like

he cant repeat his 5-9 miracle. he will be watched like a fugitive

The only sure game apo ni ya PSG izo zingine naona ni 50-50

Shoti_mzito ata fight na nini wakichapwa?

True its a cumming Sunday…wengine wetu job itakuwa slow sababu ya the cumming Sunday

Bayern v Dortmund. Noma sana. Lewandoski v Aubameyang

Game ni Atletico-Real. Atletico walichpawa jana na Real hawakushinda the previous weekend. Both teams zitakuwa na njaa ya kushinda plus ujue hii ni derby so heshima kwa mtaa ni muhimu. Finally vile messi ako injured wanajua wako na chance ya kuchukua ligi.

Shida ya hizo games kubwa za Spain zinakuanga na a lot of play acting.

3 Likes

Nitakuwa mtaa yangu, huku hakunanga wachokozi- watu ni wangwana…