This is a gem...

Ma fossil mnakumbuka hii…

[ATTACH=full]250300[/ATTACH]

Meant for janas TBT. sawa mukuro !

Sawa elder. pole

Hio Joy bringers ilikuwa inanikatsia mbaya sana. I think Mimi na ukristo tumekuwa Kama maji na mafuta tangu Dem days.

Tushauriane at 8:30 was a big hit. I remember a ninja called Joe. Quite the ladies man.

Hii ilikua ya Weekend, weekdays Kufungua Kituo ilikua saa kumi.