This is Guka - Watu Wa Ndunyu, Waithaka, Kia Mburi, et al. Mbona hi Aibu?

@Motokubwa , @Quadro k4000 et al.

Mbona 90% of the structures huku kwenu are built using old rusted mabatis bought in the 60s? Plot yenyewe ni ya 20 mirrions, but tunyumba tunakaa pigsty za ukweli.

Kama hujatembea huku lakini umetumia Southern Bypass am talking about the kind of structures you see on the right at the Thogoto overpass when heading to NRB.

Ukiingia ndani na huko Kirigu, Gacui, Mutuini etc etc unashangaa. Place looks all brown from rusted mabati.

Why na ndivo land there is expensive?

Wareffi shakali , Guka

Ongeza kwa hiyo list Uthiru,Kinoo,Regen all the way to Kikuyu…

He he he he he! Naona umetembea huko. Ndunyu people are drunk 24/7 including some relas of mine…

Yep. Kumbe siyo mimi pekee nimenotice? Crazy.

Nikama kwenyu ocha, kugrow at once juu bypass imepitia hapo. that the scenario

The land lords are old men and women. Their kids mostly sons wanashinda kwa stage wakiwa walevi waiting for a cut of the meagre rent generated from the rusted mabatis hovels.

I have relatives in Ruthigiti who have never known how being sober feels like.

wanapenda kutengeneza pesa but hawapendi kuitumia wakishapata.

ni kuachiwa curse (kirumi) wasiwai uza shamba.

Sadness of life 2022 watakuwa kwa line 2.00 a.m Riwe riwaro.

Guka toboa

Does anyone ever pays 20 Million shillings for any those plots really? Unless of course someone stole 20 million and needs to park it somewhere in 8 hours time before it turns into dust. I don’t believe anyone intelligent enough to save or work hard to earn 20 million with buy a plot in that a hovel as you describe it.

Figure of speech. Baboon!:D:D:D:D:D:D

most of the structures are held up in succession cases…hata Nyeri ni hivyo.

he he he

hizo tumenjengea mawatchmen na mamaids za kurent na Sisi tunahamia hio gikambura, ndeiya, Nderi na Nairobi ndogo name kujenga our palaces huko

Hapo Nairobi Ndogo zile palaces nimeona wacha tuu! Sijui watu wametoa wapi pesa…

tumetoa Kwa hizo nyumba za mabati uliona, rui nderi ndio kusema Sasa, vijana ni kuuza tuplot wakinunua pikipiki

so unafikiria hata zakuuza ziko