THIS IS MY STORY

nilizaliwa kwa family flani poa,kwetu tuko watu 4 ,vijana wawili na wasichana wawili…im third born…nilizaliwa miaka nne kabla 2pac apigwe risasi kwa streets za las vegas.my father was a truck driver mathe nae alikua anauza mboga mtaa uitwa taru,life ilikua poa untill time flani wazazi walianza kosana kisa buda alikua akona mconcubines wengi na unajua 90s ndio stori za aids zilikua zinaanza anza,halafu buda alikua akitubeba mimi na bro kwa lorry yake kuenda trips nae but per turn…sasa ilifika time it was my turn tukaenda nai kupeleka ngano,tukirudi tukapata mathe alitoroka na my bro na sisters…buda akaenda kwao kumcheki akumpata na u know hizo time hakukua na simu so communication ilikua tricky sana .ikabidi buda anipeleke kwa concubine wake flani uko mariakani nikastay nae juu siezi baki solo.hatukukaa sana buda akafanya accident! aligonga msee na lorry akauwa,my dad was akafungwa 5years in prison saa io ni 1998.yule concubine akanipeleka ushago kwa budangu place uitwa kabaa machakos county.hapo nikaanza kuishi na my grandma.she loved me,nilikua nikilia ananipa a shoulder to lean on.
2002 my dad was released.akakam home though alikua msick sana, kila siku anaenda hosi ikasemekana akona TB.mimi na grandma tunamlinda.ikawa serious hadi ata sometimes nlikua namuosha.tulikaa only 2months,day moja akanishow nimpeleke hosi Matuu,nikambeba na bike hadi town center hapo tukapanda Nissan za kuenda matuu, safari ikaanza alikua msick hadi akiongea anaumia kifua, tulipopita kithimani he breathed heavily then akanilalia kwa bega…nikajua my dad is dead.but sikulia ama kufreak out nilijikaza hadi tukafika matuu.
tulipofika watu wakashuka kwa gari mimi sikushuka,watu waliposhuka wote ndio niliengemeza mwili wa buda kwa kiti then nikaenda kwa dere nikamshow nashuku buda amedead twende tumcheki.tukaenda akanishow ni kweli but tuende hosi kwanza… kufika hosi madaktari wakaprove he is dead but hawangemueka mortuary kama hakuna barua ya polisi…dere tukaenda tena kwa polisi tukaandikiwa na tukampeleka mortuary. mimi nikarudi home.nikaeleza granny vile kumeenda kwanza alifaint tukampea first aid.
2002 july 9 is the day i buried my old man na kumbuka kina mathe hawakua area.nikaanza kuishi na granny tu but haikuenda sana sababu my granny succumbed to pressure. nikabaki solo sasa.kitu nilibaki nayo ni mbuzi tatu,ngombe moja na kuku kadhaa na kuna mwalimu anaitwa miss martin alinishow atanilipia masomo yangu yoote na Ku provide dish, mimi nikaendelea chuo hadi 2005 ndio nilimada class 8 …miss martin hakua na doo anaeza nipeleka high school so nikaajiriwa kuonyesha video hapo town centre,mwaka wa 06 nlikua nahustle kwa hio video hadi 07 ndio miss martin aliamua kunipeleka high school na nikauza ile ngombe.nikawa day scholar …nikiwa form one sijawahi kanyaga assembly nlikua naenda video naeka ngoma,narudi chuo time ya break narudi tena kueka movie! …until 08 that’s when momma showed up! akanichukua niende kuona my brother na sisters…

mtu anisambazie rwabe ya lunch nmetype hadi nikaskia ubao

Duh, pole.

Hope life turned the corner for you.

si sana seems im trouble magnet…i keep attracting trouble

utachukua KCr?

I think writing is therapeutic for you, plus you write so well. Keep it up, thanks for sharing.

Hekaya Safi sana.

Wah. …mimi bado sjaishi. …iza lakini

pole jamaa…hapa @culture atalia sana

mkamba umejionea walai. pole, one day utakula truffles.

Wah …mimi bado sjaishi. …iza lakini

machosi yana nitoka bro!!:(:frowning: umepitia mingi from all yr hekayas, just one thing though, are u comfortable in life right now as we chat, yani unaweza kuji mudu kimaisha bro?

Noma…just skip to the good ending.

wueh!

Enyewe umeishi.

sambaza brathe nipate bundles za kumalizia hekaya

the ony good part of my life is my daughter

nang’ang’ana kimangoto tu brathe

true huwa nikiandika i feel better… especially when yall encourage me

iza

Keep hope alive brother.