Yaani mnaamini huyu jamaa atapewa ile panga pale Safaricom Stadium?!
Na aanze kulia lia hapo kama last time. Na ashikiwe Bible? Na apewe katiba ile nono? Na apewe flag yake ya white ama blue ama brown? Na yule askari aruke nyuma yake?!... Wacha tuone.
There was also another believer in deni. Ile sakata alichezewa na baba ya Jomo.