Those Days In Nairobi - Dynamq #TBT (a big chuuuunnnneeeee)

I

introvert

Guest
#12
Hizo enzi tulikua tunanza na AVIATION(JetFuel) ya 30bob for top dressing, pale Huruma corner, shika mogoka, Miraa na Njugu kufika Limbao Pulers za kutuliza, ukifikisha Tatu unaimba reggae zote kwa Ma3 saa za kurudi home, Weeee
:D:D
Hii time nilikuwa intern, mshahara inaingia thao sita, naingia uni nikitembea kama Vince McMahon nimeshikia wathii Pulers tatu tatu.
Shait.
 

Top