Throwback

Status
Not open for further replies.

jameson

Senior Villager
#4
We used to camp kwa neighbour the whole day apart from lunch time kwa sababu ukistakiwa na mboch ati ulikula kwa wenyewe hizo ni more beatings,playing aladdin,sonic the hedgehog,mortal combat.
:D MK ilikuwa kila kitu, used to play all day winner stays..
 
U

uwesmake

Guest
#7
HII GAME NILIIIBIA BOY CHUO NIKAGUNDULIWA WAAAA, DEPUTY KARIBU ANIUWE NA VIBOKO
 

emali

Village Elder
#13
huu upuzi wa uwesmakende na junkie etc imezidi..wako kila mahali...
Boy wakwanza kupata brick game estate yetu alipata mabeste wengi sana
 
Status
Not open for further replies.

Top