Time check , 5:08 AM.

[ATTACH=full]264327[/ATTACH]

Ndio naingia kuinua uzani.

leta mbisha ya lanye

Gym yangu ya mtaa, hufunguliwa 7.30. and closes @ 8.30 .It run by Father & son. Kijanaa amekula mikibe hadi kuamka ni ngori

yangu iko open 24hrs place insecure kabisa.

Huku ni wapi chief?

Mimi natafuta mahali,cardio sana sana kuinua ni wewe