Tire recycling ideas

[ATTACH=full]459244[/ATTACH][ATTACH=full]459245[/ATTACH][ATTACH=full]459246[/ATTACH][ATTACH=full]459247[/ATTACH][ATTACH=full]459248[/ATTACH][ATTACH=full]459249[/ATTACH][ATTACH=full]459250[/ATTACH][ATTACH=full]459251[/ATTACH][ATTACH=full]459252[/ATTACH][ATTACH=full]459253[/ATTACH][ATTACH=full]459254[/ATTACH][ATTACH=full]459255[/ATTACH][ATTACH=full]459256[/ATTACH][ATTACH=full]459257[/ATTACH]

Hii bado wakanesa hawajajua. Kila biashara ya magurudumu za gari huwa tu ni ya mkamba. Fika Kisumu utapata mkamba, fika garissa ama wajir utapata mutiso, fika kajiado utapata ni mutisya fika kiambu utapata ni mkamba tu.

Kwani hii biz huwa ni wakamba tu hata hizo mbisha hapo juu ni mkamba mzungu ametengeneza…:D:D

Wamaasai waliachiwa ng’ombe na Mungu.
Wajaka waliachiwa fishing skills na Mungu.
Wakamba waliachiwa tyres na Mungu