Tommy Lee Sparta

Huyu jamaa ananikalia Tommy Lee Sparta

https://www.youtube.com/watch?v=xNK90AK97QA

@Tommy Lee Sparta kuna mtu anakuita hapa.

kwa nini?

Timothy hafanani hivi trust me.

[MEDIA=facebook]1474957032518941[/MEDIA]

haha timothy ndio tommy lee

Iko siku alijianika kwa Facebook:eek::D:D:D

Tommy Lee siku hizi amekuwa professional punter hata Malaya aliwacha

sparta ako pale predictions Kings 24/7

chips funga dat your name tonight
she is fisilet…a fisilet
sparta bado ako yard…busy kiasi na hustle lakini niko

gambling kiasi…ngwati niliwacha:D

pamba wewe sasa vile tulisoma na wewe high school utakuwa unanitaja kila saa,kaka kwani niko na deni yako :eek:

Sawa omwami lakini hatu kusoma shule moja,kuna Facebook page tuna share:p:cool::cool: