Torn between a Vitz RS and Honda fit

Wakuu, huu mwaka Mwarimo anataka kuwacha kanduthi atleast kagari, Now am torn between a Honda fit and Vitz 2010, both quite fuel friendly, but wakuu wazuri pls advise which make is best for mwarimo, then wakuu wa kuuza magari mko wellocome sana, nisirushwe kwa car bazaar. Kila siku must cover 18 km, kwenda mlima kurudi mtremko…pls advice me accordingly wakuu. Happy new year.

Unanunulia mtoto wako gari?

Explore importing it yourself, Honda fit wins.
Lakini return journey jioni si unaweza slide na ngozi ya banana?

wah! umefunguliwa lini kijana? sande sana. Scrotum imepoa?

Jibu swali…

Ka mtoto ni male ujue gari haina haga ni gay

Toyota Belta would do

Hehe, return journey ni nywee mkuu, kama ulimi, pengine brakes hunyonya maguta!

Vitz RS any day

Belta a little heavier, hio sitaki. Then quite kubwa for the buloti ya muindi kasee, btw huku ukambani, kasee wanajenga bungalows msuuri sana, lakini parking kila mtu anatombesha ukuta akipita.

nunua honda fit aria 1.8L.

Nunua tayota jamaa… spares za Honda huwezi pata grogon

Iko vipi mkuu, hio mfuko yangu itasustain kweli? well, whats km / l ?

Get Honda Fit RS (if you get Mugen spec the better).

Think we gotta get the Toyo shit, Honda spares and mechs seems a long way down the hell.

Enda na toyota …Thats the car for milima.

I think toyo wins, fuck the honda.

Fake advice all over

give us your advice… burray nugu

Honda hasn’t established spare parts shops in Kenya well . Ndio inaanza. You will have to imports some parts and they will cost you a fortune . Besides that I’ll go Toyota all day .

http://www.monitor.co.ug/Business/Auto/Here-is-why-a-Fit-is-the-better-car/688614-1750788-qbiyukz/index.html