Worka fine. Uko sure si driver issue? Have you checked the touchpad driver?
Pengine pia umelock touchpad. Most hp's kwa touchpad kuna mahali ukiguza locks the touchpad.
Kama hii yangu, hiyo white part ukiguza the touch pad get locked na hiyo orange light inawaka. Ukitap tena it unlocks it na orange light inapotea
View attachment 139782
So check on that too