Toxic masculinity

#4
Toxic masculinity ni:-
  1. Kunyeshewa. Umbrella ni umama,
  2. Kutofunga seatbelt. Die like a man,
  3. Kulala nje kama lorry kwa matanga,
  4. Kuoga once a day. Kukiwa na baridi unapanguza makwapa tuu,
  5. Ngotha zisipite tatu,
  6. Kuhama kwa Madge hata kama huna kitu.
The sage has spoken and Alpha male has agreed,
Nikiwa na umbrella naweka kando nitembe na peasants ninyeshewe kama wao
 

young...

Village Elder
#7
1. can't look at a mirror... wtf would i stare at another man for?
2. siwezi nunua towel, mwanaume ni kutingika kama mbwa na umekauka
3. can't attend a wedding, ata ka ni yangu wafanye certi na ring waniletee at my local pub
4. siwes nunua hizi bag za sijui pink na blue kubeba nyanya, naweka kwa mfuko ama nipepete hadi kwa nyumba *MGTOW*
 

Join the top dating website in kenya today!
Top