Toxic masculinity

[ATTACH=full]254169[/ATTACH]

Toxic masculinity ni:-
[ol]
[li]Kunyeshewa. Umbrella ni umama,[/li][li]Kutofunga seatbelt. Die like a man,[/li][li]Kulala nje kama lorry kwa matanga,[/li][li]Kuoga once a day. Kukiwa na baridi unapanguza makwapa tuu,[/li][li]Ngotha zisipite tatu,[/li][li]Kuhama kwa Madge hata kama huna kitu.[/li][/ol]

Je wewe @Jolie ni @Ciku_murithi ?

The sage has spoken and Alpha male has agreed,
Nikiwa na umbrella naweka kando nitembe na peasants ninyeshewe kama wao

Mwanaume hafai kutaja mavazi ya wanawake. Hatujui majina zao

there’s no such thing as toxic masculinity. just some stupid feminists trying to get beta males to be more like them.

be a man and be proud.

  1. can’t look at a mirror… wtf would i stare at another man for?
  2. siwezi nunua towel, mwanaume ni kutingika kama mbwa na umekauka
  3. can’t attend a wedding, ata ka ni yangu wafanye certi na ring waniletee at my local pub
  4. siwes nunua hizi bag za sijui pink na blue kubeba nyanya, naweka kwa mfuko ama nipepete hadi kwa nyumba MGTOW

Siwezi piga kura kwa presidential election while i know the outcome/same people

Umefi thread

Umeffi