TOXIC UNDERDOG ATTITUDES

I am making a three point turn on a less busy road… indicator in tow

Boda inatoka huko mwisho mbio na mahorni anataka ku.make it mbele ya gari before nifike mwisho wa the first point…

I make it first.

Anafika na emergency brake… almost skramboo…

He starts hurling expletives like a classic bonobo…

I respond

Then he tells me: unaringa na hii gari yaaaaaako hata sisi tutanunua gari

I respond much like a shout: …Amiiiiiin thuma Amiiin

Then it hits me:

In this country underdogs turn every situation involving guys better than them financially into a unaringa situation… blaming other people for their situation… forgetting people don’t get things by their own effort alone … ALLAH gifts.

Hii tabia ya ki.woiye woiye ni toxic na mbaya.

watu Wana machungu na wivu Sana na people in perceived better positions than them…


Na hivyo ndio vile Ruto atapita…

Maragoli ni sawa, tumejua uko na gari

Arab

This exact shit happend to me a fortnight ago… I had parallel parked in busy street … saa ya kutoka i check my side mirror no nduthi guy in site nikatako kiasi what was remaining was just reversing abit ndio nitoke kabisa and out nowhere a nduthi is flashing and hooting at me the next thing I know the mothefucker is blocking my way na ameaanza matusi… nilishuka nikamwambia akikosa kutoka napita nayeye nugu ilikunja mkia ikaenda.

Mi huwashow nitakugonga niende police station, insurance ikulipe, uishi na jeraha…

I lose almost nothing …but will your life be the same?

Mimi karibu katambe I was so fucking triggered the entitlement of this mothefuckers is ridiculous… mkoko guys who were sitting on opposite side saw everything they were telling him awache ujinga but apparently he used to getting away with such bullshit he cant see his own fault.

Boda boda ni wajinga, mathree pia na kukata mbele ya mtu kwa jam then unapata the stupid driver stops the vehicle 10 metres ahead to pick some passengers after overlapping like a moron. :mad::mad::mad:

There was a clip doing rounds juu ya vile hi story ya hustlers vs dynasties inaleta me vs them attitude especially na hawa wasee wa nduthi .mnapata accident na nduthi ukiendesha gari wanakuita dynasty wanatumia excuse kuharibu gari.

If you are approaching a stage you better slow down kuna siku apo ngong road usiku kitu 8pm nilikua nimeinuka na rudi tao… matatu ikanipita ikaenda kusimama apo kwa stage ya karibu na coptic venye naenda kukaribia io stage the idiot decides kutoka without a warning I braked so hard ile vits ilikua nyuma yangu ika nigongo… io nugu hata haikusima kuangalia kile imefanya luckily nobody was injured and the damage wasn’t bad.

Ndio ao…
https://www.instagram.com/reel/CKERybnhPh9/?igshid=134vpsmrywn9

If I drive something like a Tata tipper truck I swear singewai simamia hao wajinga wa boda when reversing.

Yaani mtu anakuona from far reversing but still wants you to stop ndio apite.

Nduthi na mat hukunja mkia kabisa when it comes to trucks . Watu wa ‘my car’ ndio mazoeano iko.

Umbwa wao

Kwanza wakibebana watatu watatu after a funeral or they are protesting,they really leave their brains at home. Jana they were overtaking very recklesly with headlights on yet ni mchana hadi mnawatokea yet its their stupid lives on the line. Alafu helmets ni out of the question.

Hawajiulizi mbona gari iko mbele imesimama

Mtu akiendesha nduthi wakati mrefu huwa akili inapungua anakosa kufikiria kabisa. The bikes make our commuting convenient but the riders don’t use their brains at all.