Toyota Kenya

Nimeenda toyora kenya nikabuy oil filter 1k kama kawaida. Nikaulizia 5w30 engine oil nikaambiwa 1800 4 liters mkebe ya chuma. Maze hii oil nanunuanga 6k shell 5w30 alafu wananiambia 15000km lakini gari ikienda 5000 km ishachafuka. Sasa situnaibiangwa sana GoK na kampuni za mafuta?
Alafu jamaa tulikuwa naye ameuliza fuel sender (pump ya tank) na filter ya prado ikakuja 73,300. Alafu akauliza filter zingine bill ikaigia 100,000.
Wazito toyota ni rahisi ku-maintain. Sindio?

The first part u

Umesema oil ni cheaper toyota kenya ama nimesoma vibaya? 1800 bob for oil you buy 6k shell?. The second part mambo ya pump i wonder how much the same costs kwa beemer, audi na merc suvs.
That said. Gari ni gharama either way.
I am having a slow day

1800 lita nne 5w30 usually recommended for most newer toyota petrol engines. Shell walinikulia 6000 lita tano last service. Most people use 5w40 which is cheaper but heavy.
Jamaa wa prado nimemshow anunue lifan mbichi next shop na hiyo pesa alafu pesa itabaki ashike ile pombe inaitwa teachers ashukuru.

[ATTACH=full]165983[/ATTACH]

Haha. Anunue money maker pump. Imagine having to incur such a cost gives me chills. Gari italala garage miezi tatu hivi. Ndio maana unafaa kununua kitu unaweza. Trust me huyo kesho atakuwa amepata pesa gari iko barabara. Ingekuwa mimi ingebidi nilalishe gari

resale value my fren.

Hiyo pombe lasima niitafute tena. Took it once about a year ago, was smooth I tell you. I got it from Nakumatt, but since ilifungwa sijawahi tafuta.
[ATTACH=full]165999[/ATTACH]

is it for teacher’s ?

useme nini au useme nini watu wenye magari wakiitwa watu wanadrive toyota wasionyeshe hata mshuto karibu

Toyota gari ya watu wajinga

This ought to be good. Ngoja wanakam

Is it normal or synthetic?
The later is the way to go.

sijaangalia ingawa msee alisema ni synthentic. nimechoka na hiyo oil expensive pia yenyewe by the time iko 5000km inakuwa black na iko na metal shavings. 5w30 inakuwanga synthentic most times though. I am usually interested in the grade not the synthetic or otherwise. if its natural, just change every 5000km before it breaks down into carbon. thats where synthetic matters beacuse it can go a few more thousands, maybe extra 1000 or 2000 more looking dark brown not black. lakini mtu wa kukushow 15000km ni uongo upuss utaharibu gari na mileage kidogo.

The reason am advocating for synthetic is after service was done last time a senior mech first asked me which oil I have been using and asked why?
He said the tappets have a funny noise which is caused using normal oils.
He mentioned modern engines are better with synthetic.
Well,noticed the difference.
Engine has been quiet since then.
The car is a Toyota kluger.

:D:D:D:D:D:D:D:D

I hate all toy otas …but Kluger is that one car i extremely loathe

No beauty, No power, No character

Ni kama kula slippers

Sweep zilienda na update ya @Deorro ya darkside ama nini? And where the fuck is the chair?

The truth is that toyota is better than those other crap you drive. thats why people who can only afford a car once ina long time dont like second guessing, na kusema ukweli watu wanashika nissan, subaru 1500cc, mazda etc ni vile most hawakufika bei ya toyota. but i am not saying that mazda or subarus are bad cars. nissan is a lower tier car and you dont need to look twice to see that. but it also serves as a car.

Sure. Synthetinc is a better oil. I wouldnt strive for 1500 a litre if I didnt value quality. I will check my purchase but i want to believe toyota arent selling wrong oil for new vehicles they sell.
i think the toyota oil is imported parked or as parts and therefore ducks most duties associated with these others.

Hakuna kitu ya maana umesema

I thought ni kitu ya maana. huchoki kuunda email za kuingia ktalk?