Toyota Noah

serikali itanukula ngapi kuleta hii huku? yaani, costs zote hadi number plate itakua ngapi?

naona regulations italeta shida, total costs ingeweza kua ngapi lakini?

[ATTACH=full]200254[/ATTACH]

Ni term paper unaandika ama?

Hii gari hukuwa na mashida mob

Enda cost 800k utapewa gari io ingine ulipe pole pole…cash price ni 1.2m

hii enda huko japan uendeshe upige malap alafu urudi hapa krenya uingie olx utafte gari inaitwa toyota 110 locally used utoe $3000 swafi kabisa.

hio ni old model

Si hiyo gari technology yake ni ya 90’s kwa hivyo fuel consumption yake iko juu kiasi in this era of VAT on fuel.

kama gani?

You’ve already been told you can’t import the car coz it’s more than 7 years old lakini bado unasembua…serre!

Contacts za coast?

You can’t bring a 2005 car to Kenya