Toyota Rav 4

So Mimi na kimbelembele yangu nikatoa ile memcard inakam preloaded with maps nikajiambia this map is bullshiet since its in Japanese na pia haikuangi correct.
Si nikachomao nkaformat na nikaweka tungoma twangu.
Sasa shida ni ati siwezi ingia settings za hii audio system it says bla bla bla upuss SD Card.and I need to pair new Bluetooth device.
Nikingia site yao wanadai map upgrades wanauza kubaf nanunua maps ya town najua ya nini.
Mtu anisaidie na maps yake I photocopy nabuy chai[ATTACH=full]78959[/ATTACH]

Map ya kenya…unajua kenya yoooote?

I guess ata wanauzanga na regions like east Africa ivi but still I don’t need to buy it .si I have maps on my phone

Enda uibe GPS navigation unit ya gari ingine

4 Likes

Shida sio ata maps.this memcard I formated I guess contained some info about settings and other configurations.

Na si utafute recovery software ujaribu ku unformat; i.e kama hukujaza marungoma zako…

Hapa nitakusaidia na advice yenye itakusaidia in future. Before formatting back up the s.hit somewhere even if it is temporary. Ukitoboa now delete the s.hit permanently.

3 Likes

@snapdragon , penye utapata hizo SDHC software unisho cos niko na shida almost similar na yako
https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/car-stereo-tech-gurus-saidia.38187/#post-773220

1 Like

hehehe. hustle imejipa sio???
anyway, did the same on my jalopy but it was a HDD. System ilikataa kuwork had to buy hizi aftermarket. no regrets though. the thing that comes from Jap with the car is crap. plus niliweka booom boom boom

only:):slight_smile:

1 Like

Ungeweka model number ya radio yako ndio pia … .

ooh yangu imeamka thanks to @Rene Descartes for mentioning about CD nikakumbuka there was a dvd nilipatanga imeandikwa kijapan nikainstall some shiet kwa pc
after a hell of translations nikapata an option to recover maps for memcard. Hiyo sitawai gusa tena[ATTACH=full]79276[/ATTACH] [ATTACH=full]79277[/ATTACH]

1 Like

Model no. Ya hiyo tenje priss?