Amini usiamini nilitoka town 7.30, bado hatujapita dagoretti corner. Walai kufanya job Nairobi ni ufala
nani alikuambia u rent keja huko??sisi watu wa thika road ni maximum mins tuko keja
Kwani uko na kabambe?
Nunua bike. Black Templar ashafika kitambo.
2 Likes
Nilitoka Rongai 5 nikafika tao 6 lakini mvua Ilifanya nitoke tao 10. Sema kukaa kwa baridi for almost 4hrs. Got home when niko drenched kabisa expect viatu
I agree! Superhighway all the way!
Its lik takin’ a flight
four things:-
i.Picha
ii.Video
iii.Sketchi ama
iv.Witnesi
Except viatu. Karibu.
ATI SUPER HIGHWAY…tembea naivasha…natoka kwa hao 6.57…by 7am nisha check in
hizo nyama za punda hazikupeleki poa
2 Likes
Zii usihamie thika road…these guys are lying to you…huku kumejaa hatutaki watu wengine…kaa huko
that road is cursed … wanafaa kufanya kitu hapo sector ya junkie