Translation of the song Papa Lolo by Mose Fan Fan

This is a sad song by which Mose Fan Fan is crying out to his friend who was killed mysteriously. I have been requested to interpret it by some of you. Its long but I also like it.

Aaah!!
Boni boni Banganga babelela ndoki eeh
(Kwa nini wachawi ama waganga wanasifu uchawi/uganga)

Butu Eyindi mokolo ya bandoki bangalaka Nzambe oooh
(wakati usiku unaingia na kunakuwa giz, hapo ndiyo kunapambazuka wakati wa wachawi/waganga kumsifu mungu wao)

Ntongo etaini bakolola nzoto bapemi makambo eeeh
(wakati jua linachomoza wanajitoa uokovu, kufanya uchawi, inashangaza)

chorus

Aaaah
Naleli mama aa naleli papa x2
(Nalilia mama yangu, nalilia bab yangu)
Papa Lolo eeeh, babwakiyo wapi eeh? x2
(Papa Lolo eeeh, walikutupa wapi?)

Na mokili bandimaka moto te ooh
(katika hii dunia, watu hawamkubali yeyote)

Osangalaka liaka tuka
(usilalamike eti umetapeliwa)

Mokili leka balanda yo eeh
(Katika hii dunia, fanya kazi yako na mazuri yatakufwata)

Ebale ezange mikua eeeh
(Kumbuka mto hauna mfupa)

Baboti yo kotina Lingomba
(kumbuka ulizaliwa katika jamii kwa sababu fulani)

Bandoki batitiseli yo mise
(mchawi atakuwa akikutazama kwa makini)

Papa lolo eeh, babwakiyo wapi eeh?x2
(Papa Lolo eeh, walikutupa wapi?)

Nzambe akela mokili
(Mungu aliumba dunia)

Atiya mpema na mopepe
(Aliumba pumzi ,hewa/upepo wenye uhai)

Akela biso na Edeni
(Akatuumbia shamba la Edeni)

Nzoka atiya biso na bowumbo
(Akatufungia kule kwa utumwa)

Ntango nyioso I LOVE YOU EEH
(Kila mara lazima tuombe mapenzi-tukisema- I LOVE YOU EEH)

Papa lolo eeh, babwakiyo wapi ee?x2
(Papa lolo eeh, wamekutupa wapi ee)

Na mokili bandimaka moto teh
(Katika hii dunia watu hawamkubali yeyote)

Osangalaka lika tuka
(usilalamike eti unatapeliwa)

Mokili leka balanda yo eeh
(katika hii dunia fanya uwezavyo vizuri, watu watkufuatwa baadaye)

Ebale ezange mikuwa ee
(kumbuka mto hauna mfupa)

…the rest is repeatation on and on.

4 Likes

Kuchuna waya ya guitar ya wimbo huu ni tamu

1 Like

wow! barikiwa…De rien!

1 Like

Hii wimbo walevi wanapenda sana

4 Likes

heheheh HII WIMBO KARAOKE KILA MTU HUSIMAMA NA KUIMBA

1 Like

https://www.youtube.com/watch?v=AvjTpazUhVQ
ndio hio…

1 Like

https://www.youtube.com/watch?v=0L0FbItE-vs

https://www.youtube.com/watch?v=0L0FbItE-vs