Tribalism, Nepotism, Corruption, Zuku

Besides Tribalism, Nepotism and Corruption, Zuku is one of the biggest problems ailing this country
[ATTACH=full]134047[/ATTACH]

Zuku, Suck unnu maaaada.

Ntapata wapi Ubiquity M5 ?

Hizo Nano M5 sahii ndio watu wamegundua kumbe hua si za kupamba roof, zinaibiwa ibi ibi.

Gheesauce, Inabidi kununua a bulky aerial ya 300 bob alafu uifiche hapo kwa ma-mesh.

PSG wameshindwa kufunga Marseille

Mi naona solution waanze kuweka huto tuvitu nano-cameras pia. Ukipanda hivi kukang’oa unaonekana fisuuuuuri.

Watajua tena wapandage na masks. Alternatively Electric shock ya kuwasha na kuzima kwa mabati. Those with tiles waeke alarm ya kuamsha kijiji yote.

Zuku niko sawa nayo sana. Hata stima zikilost half the mtaa wanacome na generator just to keep the service going. Kwani unaishi kivande gani mnyaa?

Team ya France kwa hi World Cup 2018 itakua moto sana.

The best looking team is not always the best…