TRIBULATIONS OF DEEZY(HOW I MESSED UP MY ACTING CAREER)

(LONG READ ALERT)
Some years back nilijoin College Fulani huku Nairobi.Nilikuwa ninaishi Hostels Fulani pale Ngara zinaitwa Harvard.So kuenda anywhere within CBD ilikuwa walking distance.Ilihappen kuwa classes zangu zote zilikuwa za morning na afternoon,meaning in the evening nilikuwanga tu free.In the evening I had all the time.Sasa vile Nilikuwa nimetoka Marmanet,sikuwa na experience ya Mtaani sana.Nilimaliza class,sikuwa ninarudi kwa hosteli juu enyewe kuna vile zilikuwa kunguni infested.So ilibidi tu nianze kuchapanga maraudi tu Taoo,ikifika majioni naenda kucheza pool base Fulani hapo Ngara.
Ilifikanga time Fulani nilipatananga na advert Fulani ya auditions za acting ma plays pale National Theatre na nikaamua kutry.Kwa bahati mzuri nikapenya na nikakuwa official member Wa crew.At first hawakuniwai Role any,but after some time nikaanza kupewa tu Minor Characters kwa plays kadhaa & after kitu 2 months nilikuwa nimeiva kabisa.
Sasa ilifikanga time Fulani hapo,kukakuwa na play Fulani hapo, na nikapewa character ya an abusive drunkard husband.Kusema ukweli venye nilichapa hiyo character kila member Wa crew alitii na ikakuwa hakuna msee mwingine angechapa hiyo role.Kwa kila play tulikuwa tunalipangwa Punch.
So tulikuwa tuperfom hiyo play for the first time pale Sarakasi Dome on a certain Saturday. Tukachapa final rehearsals on Friday na jioni kila mtu akaenda home ndio tupatane satoo.The same Friday usiku Mathee akanitumia doo za kulipa hostel but niliona asubuhi kitu six vile niliamka.
Hapo kashetani ka kudanganyilia mtu kakaamua kucheza kama kenyewe.Kakanipea idea;
“Deezy si unachapa character ya Mlevi,mbona usichape kanusu kaa moonwalker at least ukiwa high kidogo utakill kwa hiyo play.”
So nikagive in,nikaenda ka chuom Fulani hapo,nikaitisha ka moonwalker full,nikagawa Mara mbili.
Moja nikaweka kwa chupa ya dasani na nikaongeza tumaji kiasi.Ile ingine nikachapa flash na nikajitoa kuenda Sarakasi dome nikachape final rehearsals.
Tulikuwa tunachapa rehearsals back stage na mimi niko tu hapa nachapa ma gulp za ile dogogio Niko nayo kwa chupa.Wasee walikuwa wanadhani ni maji.
Nikamaliza ile dogogio na nikafeel enyewe kuna vile bado hakajani-nice poa.Kale kashetani kangu kakam tena,;
“Mazee wamadogogio uko na doo za hostel,kimbia uchangamkie ka quarter kengine,utarudisha mkilipwa after the play.You have more than one hour kabla play ianze.”
Again I gave in.Nikajitoa na nikakimbia kwa mboyz wangu alikuwa na kwa wine and spirit.Nikamwambia aniwekee Ka Chrome kwa chupa ya maji.Mboyz wangu alikuwa na Ka Napoleon half akaniwai akaniambia amenipromote.Wamadogogio ni nani,nikachapa gulp moja dry…Na nikachukua chrome yangu na nikajitoa.Nikapitia Ngara huko Nyuma kwa lane fulani hapo wanauzanga Makaa.
Kufika karibu na kachuo Fulani hapo tulikuwa tunaedanga zoezi majioni,nikakumbuka sikuweka chrome maji.Nikasema nijisunde huko chuo ndani niongezee maji kwa Tap.Sijui kuliendaje, juu venye nilifika pale kwa Tap,kale ka Naps nilichapa flash kakaanza kunishika.Kajua kalikuwa kamewaka mbaya mbovu.
Sasa nikachota maji vizuuriiii,na nikasema wacha nioje nisikie kama kamedilute vizuri,…Bradaaa…!!!
Before nirealize;Nilikua nishachapa half ya ile Teii na already nilikuwa the Real Wamadogogio…Nilikuwa mapuyaka mbayaa.Kale kashetani kangu this time kakatuma Mûka Wa Kwerû na Kenyonyooo…Wakaniambia haina haja ya kubeba hii imebaki,Wewe chapa tu yote…By the time nilikuwa namaliza,Nilikuwa nishaanza kuimba vile Niko na ploti pale Kamuru Joska na zingine tatu pale Runda,na pia vile Niko na bibi mrembo hata kushimda Hoodah na Vera sidika wakiwa combined.Na usisahau kajua design kalikuwa kamewaka,…weuh…wacha tu.
So si nikasema,enough is enough,wacha nirudi Sarakasi Dome nikachape play.Kusema ukweli sikufika hiyo mtaa.
Vile niliamka,nikaanza kuimba kama nimeinua mikono juu huku Nina Stagger;
“Kîîrîtu kîrîa gîtungu kîîrûû…” (Veterans si mnajua vile hii ngoma inaedanga"
Now I don’t know ni nini ilinitega,juu the next thing nilijipata kama nimefly juu,nikaanguka kwa manyasi puuu…!!!Na nikaanza kuita Mûthoni…( For those who are asking who is this muthoni,She is a certain Cambodian lady whose genes originate from Both Kabete and Nyeri,I have been dating her for that last 10 years and every time I dare to divorce her,she beats me like lack of importance.Remember,she has a black belt in karate and Judo)
“Mûthoni Ûka ûnyînûkie mûcîî.Maredaa Gûforaa mbesha îria nyûma kûrîhia nyûmba.” (Mûthoni come take me home,they want to rob me the money I have collected from my rental houses.)
Weeeeueeeh,na ndio uamini Saitani can stop Reggae,kausingizi kaliniokota.Nilijipata nikiamshwa na watchman Wa hako kashule.Kutoa simu niangalie ni saa ngapi,kumbe ilikuwa ishaisha moto.Kuuliza watchman ni saa ngapi ananiambia ni 6:30 jioni.Hapo nikajua nimemwaga unga.Vile kichwa ilikuwa inauma ilibidi tu niende nikatoe lock,na baadae kitu 11.00p.m nikaenda Kwa hostel,nikaeka simu kwa charge na nikatunaa.
Morning kufungulia simu matext zikaanza kukam through hadi simu ika hang.Bado kama matext zinaingia nikaona call ya Director Wa ile theatre group yetu inakam through na nikapick…
“Weee it**a rîrî rîa ngoma noo ûnjîkanie ûguo?Ngoma îno dikanakuone gûkû rîngîî.” (You devil’s ass how can you do that to me.You Satan let me never again see you here.)
Sasa juu nilijua tu enyewe kashaungua, ilibidi nimshow hata Mimi si mchache.
“Oyaaa,budaaar usijaribu kunitusi ama kunikelelesha.Mzae wewe si budangu ama mamangu.Unafikiria unanisaidianga sana…Jibonyeee msee na ukae na hizo magroup zako za kufinyilia watu.”
Nikakata calls na nikamuumisha block.Baadae nilicheki zile texts nikapata ni za group mate na za director.Enyewe kusema ukweli hapo nilichoma but maji yalikuwa yashamwagika na sikuwa na otherwise.Ilibidi tu nimeconcentrate na mabooks na kamaisha kakasonga tu mdogo mdogo.
Juzi nimetune ka TV station Fulani hapo nikapata huyo director akiwa amehostiwa kwa Interview,na wakati aliulizwa his worst experience aka-narrate hiyo incident yangu.
Kuulizwa kuliedaje…Kabla ajibu stima zikapotea kejani…
Director Jeff Mazee najua nilikumess,but itabidi tu umezoea.Na Mazee kama hii story itakufikia niambie tu vile kulienda…

I remain Yours Trurly;
Deezy Msanii

#DEEZY254

character ya mlevi…epic proportions

Kula like pwana:D:D:D:D