Tricks at Mukuru kwa Jumia

So there is this black Friday. This is the time Online shops kujiadvertise kabisa. Now the problem ni moja, customer misleading. Case and point I bought a Tesla 32 inch TV for mathee at 14,999 pale Jumia. Na nikapata. At black Friday beshteake akadai kama hio. Kuenda pale nkapata iko kwa list ya black friday items. The cost was now 15,999 with heavy advertising on how the item has been disconted. I looked at a few other items I had bought in the past vs current cost and I found out all prices had been hiked. I was very disappointed decided to never buy anything on scammy Black Friday.

At least you were not conned sioni makosa hapa

yea, kwani unadhani wakenya watakupatia vitu tu hivo kama discount.

Mama yako mzazi ndio unanunulia Tesla 32" TV? Wewe pia unatumia Tesla 32" kwako?

Always compare prices for both online stores and physical stores and then look out for the best deal. Hii mambo ya discount naonanga kama ni uongo.

Ndio maana nasema Ni kumislead on claimed discounts

Mimi hutumia projector isee. Yeye hupenda TV. Haezani na projectors

You should know that is not a TV but a mkebe. Nunua Samsung au Sony, kitu haitawahi kuangusha

Aisee ni uongo. I was setting up an e shop nkaona that platform iko na tools ata za countdown to end of fake SALE offer expiry. Gives the customer urgency of purchase. The clock is always new for every customer. But if you clear browser history or use another browser the clock resets[emoji3] [emoji3]

Chinese watatuonyesha mambo. Time to make my own TV brand too :cool:

Muhimu, even brand names tunajua huwa faked, tembea luthuli

Why Luthuli? Mbona si kwa agents wa samsung ama sony?
Tembea tuliko tembea ujionee pia

Hawa jumia Na killimall hakuna Black Friday hapo. Majuu ndio mambo. Nimebuy a 24" ips panel 1080p Acer monitor with HDMI for $59 with free shipping. Kitu yenye January ilikuwa inauzwa $160. Total cost inifikie itakuwa +3k ya shipping.
Nimetafuta a 1080p monitor Na sipati locally any with such specs less than 28k

mnapenda vya buerere

Tesla is not Chinese. Its from Eastern Europe (Czechslovakia)

Nyinyi ndio @Panyaste ana describe watu wa kutoka ocha wanakuja nairobi wanakuwa juaji. Sasa juu ukikua uliona tu samsung na sony unafikiri hizo ndizo brands tu? Wewe ndio mtu wa omo, kasuku, colgate, blue band, imperial leather, toyota… ujinga tu. Your mind is in a cage

Fyi,tesla is a very good tv and has nice pricing too.

hehehh True

Kenya huwa ngori sana. A while back nlikuwa natafuta U2715 DELL monitor. nlikuwa nataka tatu. Nlitafuta kenya nkakosa. I got msee akaimport the wrong screen I was so disapointed ikabidi nimeachana nahio stori nkachukua dooh yangu.