Hizi trophy mnatuzawadiaga humu naweza withdraw nikapiga mpunga?
sijavuta kabisaaaa ndo kwanza nimetoka jobu niko nasonga ugali
Hahaaa
Usicheke bro, niko siriaz kabisa
na tumezinyaka kweli mkuu ka inawezekana tujue jamani, fursa hiyo
Ndio, maana kila baada ya muda mfupi hiyoo, hujakaa sawa hiyoo,
ndio tufanye kuuliza zaidi
Naona wanajifanya hawaelewi kiswahili
hawana lolote wakija huku huwa tunawafundisha kiswahili na wanaelewa tuu
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:cool:
Heheh
Unaweza mkuu, inabidi zitimie idadi fulani maalumu.
Kamangapi vile mkuu?
Ukitimiza Post milioni mbili unapewa Trophy ambazo unaweza kupata hadi 500,000
Laki tano
@The Tweet majibu tafadhali