acha nione my true friends…nkifanya harusi wewe utasimamia nini??
Honeymoon
heheheheheeheeee…ndo unikulie bb
Nitasimama kando ya pipi
Nitasimama nyuma ya khupipi kama adc was urezo
After party
organizing the bridesmaids
Tunakusimamia kwani slices tutagawana pia?
Kutia bibi mimba.
Msee wa dago unasumbua.
Nitakuja kuchota maji!
Au kukatakata kuni
Nitanunulia wageni maji ya kukunywa