TRUMP vs KIM nani atafadika zaidi

ule mkutano tuliousuburi hatmae ulifanyika huko singapore lakini kiujumla tunaofatilia ni kama hatujaelewa vizuri…ukiangalia kwa jicho la tatu kila upande hakuna unaomwamini mwenzake kila upande bado unaenda kwa kuviziana yaani nani aanze kufanya maamuzi kuhusu kusuluhisha mgogoro wa peninsula ya korea

tunajua wazi kuwa matamanio ya white house ni kuondoshwa na kuharibiwa kwa silaha za nuklia huko korea kaskazini lakini ukweli wa mambo ni kuwabwana kim ni muhuni sana haaminiki hata km atafanya denecliazation mi siamini km atafanya km matakwa ya marekani yanavyotaka

kwa upande mwingine Kim anatamani sana aondoshwe kwa vikwazo alivyowekewa ili nchi yake iondoke kwenye mkwamo mbaya wa kiuchumi

washirika wakubwa wa USA huko peninsula ya korea japan na south korea wameingia kwenye wasiwasi mkubwa baada ya mkutano wa juzi trump kukubali kusitisha mazoezi ya pamoja ya kijeshi yanayofanyika kilamwaka uko kwenye mpka wa south na north korea

hili hata waziori wa ulinzi wa serkali ya trump bw matts hakuridhishwa nalo na alisema wazi kuwa haikuwa sawa

na tunajua kabla ya kukutana na bwana trump …dikteta Kim alikutana na mabwana zake uchina hii inainesha wazi kuwa uchina na urussi walikuwa namkivuli chao kule singapore japo hawakuepo hatujui walimwambia kitu gani kabla ya kwenda kukutana na trump

maswali ni mengi ya kujiuliza

Je mqarekani atamuondolea vikwazo korea kaskazini kabla ya kuangamiza silaha za nklia?

je korea kaskazini imekubali kweli kuangamiza silaha zake?

je huu urafiki wa washnton na pyeongyang ni wa dhati ama wakinafk…na kama wa dhati kwanini kim aliamua kubeba choo chake yan hata hoteli aliyofkia hajaenda chooni wala kuoga ametumia choo chake na amerudi na uchafu wake korea

uchina atakubali north korea wawe marafk wa kushibana na USA km ilivyo kwa south korea?

mtazamo wangu huu mkutano wa kwanza haujatoa picha kamili kuhusu mstakabali wa amani wa peninsula ya korea tuendelee kusoma mchezo

tumshukuru rodman rafiki mkubwa wa Kim aliyesaidia kwa kiasi kikubwa kukutana kwa kim na TRUMP

hapa naweza kusema mkutano huu ulikuwa na maana moja kufungua sura mpya ya kuelekea kwenye ufumbuzi wa tatizo lenyewe

liufupui unaweza kusema Trump ameonesha ukomavu wa kisiasa na KIM ameanza kukua kiakili

tuendelee kutafakari

Hapo Kim amepiga bao la kisigino, maana mkutano wao umemjenga zaidi Kim kuliko Trump…

yule dogo ni muhuni sana tuwape miezi miwili mbele tuone kama trump hajamdis twitter

Haeleweki yule dogo, ni kama haaminiki vile, nilimuona alivyokuwa akimtazama Trump kiaina…

yes hata mimi nilikuwa na mchunguza sana body language yake yani ni kama alienda kwenye mkutano tayari akiwa na maamuzi kichwani

ananiachaga hoi na mwendo wake tu utafkri mmakua mlima nyanya ahaha

Haahaaahaaa.Kiduku mtata haswaaa.Ngoja tusubiri tuone.

Marekani sio vichaaa,hii michezo wanauzoefu nayo toka kitamboo

Marekani amekutana na saizi yake sasa.

Kiduku sio mtu wa kawaida dunia itakuja kushangaa kwa kitu atakachokuja kukifanya

Mnaosema the man of the show was Kim nendeni mkapimwe akili

Kuna uwezekano mkubwa kim akiacha kutengeneza nukes, iran ☫ nae atafata nyayo za Kim na Trump akapata noble prize kwa kusuluhisha migogoro iliyomshinda Obama, Clinton, Bush kwa miaka yote hiyo on the round table peaceful

So credits nyingi zinaenda kwa Trump so far

Wampe tu credit kwani wenzie walishindwa kupata hizo credit? Sema tu hali imekua mbaya Korea kaskazini ya kipindi kile sio kama ya sasa

Naona Trump ndiyo mshindi kwenye hii ishu. Amejijengea heshima kama mtu anayependa diplomasia. Alivyojitoa kwenye makubaliano na Iran dunia yote ilimshangaa na kumuona mwendawazinu ila hili limemrudishia heshima

Heshima lazima iwepo mtu alishaamua kama mbwai mbwai tu walishaona Kiduku kichaa hana la kupoteza bomu la nyuklia sijui kama ile mitambo yao inaweza kuzuia na hata ikizuia italilipua juu kwa juu hapo napo majanga tu maana mionzi itatapakaa kila kona…hayo madude ya nyuklia hayazuiliki ndo maana sio kila nchi wanaruhusiwa kutengeneza

Kim ni mjanja sana ila wasiomuelewa wanaona kama vile ame surrender…

Unauliza swali gani sasa?
Kuna kiongozi wa marekani aliewahi kufikiria hata kumpigia simu leader wa NK tokea kuumbwa kwa ulimwengu? Achilia mbali kukutana mezani?

Unaonekana huu mtifuano wa Marekani na NK umeanza kuujua kwa Trump na Kim, pole umechelewa sana

wenyewe wanajuana.

Hawakumfikiria sababu walijua sio tishio kwao jamaa sa hv kaja kwa style nyingine imebidi tu wakutane hamna namna ukishakua na yale mabomu lazima uogopwe Iraq aliingia mkenge akawaacha waje kupekua wakaona hana kitu wakamtwanga …pia kuumbwa kwa dunia kivipi wakati hilo Taifa la korea kaskazini limeundwa baada ya vita kuu ya 2 ya dunia kipindi cha “cold war” kati ya warusi na wamarekani

Hahaha we kweli mgeni kwenye siasa za kimataifa

Kwa taarifa yako North Korea ndio nchi pekee iliyowahi kuiteka manoari ya kivita ya Marekani na kuipeleka kwao huku wakiwaua wanajeshi wa marekani na wengine kufungwa jela za North Korea sasa sijui ni tishio lipi unalizungumzia.

Lini imeipiga marekani kwake? Hayo makombora aliyokamilisha unadhani yalikua yakujilipua yeye mwenyewe?

Unakumbuka Obama walikutana na Muamari Ghadaff baadae wakamua
Sasa ivi wanakutana na Kim utakuja kusikia