ule mkutano tuliousuburi hatmae ulifanyika huko singapore lakini kiujumla tunaofatilia ni kama hatujaelewa vizuri…ukiangalia kwa jicho la tatu kila upande hakuna unaomwamini mwenzake kila upande bado unaenda kwa kuviziana yaani nani aanze kufanya maamuzi kuhusu kusuluhisha mgogoro wa peninsula ya korea
tunajua wazi kuwa matamanio ya white house ni kuondoshwa na kuharibiwa kwa silaha za nuklia huko korea kaskazini lakini ukweli wa mambo ni kuwabwana kim ni muhuni sana haaminiki hata km atafanya denecliazation mi siamini km atafanya km matakwa ya marekani yanavyotaka
kwa upande mwingine Kim anatamani sana aondoshwe kwa vikwazo alivyowekewa ili nchi yake iondoke kwenye mkwamo mbaya wa kiuchumi
washirika wakubwa wa USA huko peninsula ya korea japan na south korea wameingia kwenye wasiwasi mkubwa baada ya mkutano wa juzi trump kukubali kusitisha mazoezi ya pamoja ya kijeshi yanayofanyika kilamwaka uko kwenye mpka wa south na north korea
hili hata waziori wa ulinzi wa serkali ya trump bw matts hakuridhishwa nalo na alisema wazi kuwa haikuwa sawa
na tunajua kabla ya kukutana na bwana trump …dikteta Kim alikutana na mabwana zake uchina hii inainesha wazi kuwa uchina na urussi walikuwa namkivuli chao kule singapore japo hawakuepo hatujui walimwambia kitu gani kabla ya kwenda kukutana na trump
maswali ni mengi ya kujiuliza
Je mqarekani atamuondolea vikwazo korea kaskazini kabla ya kuangamiza silaha za nklia?
je korea kaskazini imekubali kweli kuangamiza silaha zake?
je huu urafiki wa washnton na pyeongyang ni wa dhati ama wakinafk…na kama wa dhati kwanini kim aliamua kubeba choo chake yan hata hoteli aliyofkia hajaenda chooni wala kuoga ametumia choo chake na amerudi na uchafu wake korea
uchina atakubali north korea wawe marafk wa kushibana na USA km ilivyo kwa south korea?
mtazamo wangu huu mkutano wa kwanza haujatoa picha kamili kuhusu mstakabali wa amani wa peninsula ya korea tuendelee kusoma mchezo
tumshukuru rodman rafiki mkubwa wa Kim aliyesaidia kwa kiasi kikubwa kukutana kwa kim na TRUMP
hapa naweza kusema mkutano huu ulikuwa na maana moja kufungua sura mpya ya kuelekea kwenye ufumbuzi wa tatizo lenyewe
liufupui unaweza kusema Trump ameonesha ukomavu wa kisiasa na KIM ameanza kukua kiakili
tuendelee kutafakari