[ATTACH=full]178183[/ATTACH]
[SIZE=6]US Unemployment Rate Falls to 18-Year Low[/SIZE]
Naamini hizo takwimu sio za maigizo kama zetu huku
ACHA ATUITE shithole tu
Hahah!! Ana haki kweli mana sisi tunapima samaki na rula sasa
Huwezi kuchukiwa na wote pia huwezi kupendwa na wote.
Rula zitaanza kupanda bei baada ya uhitaji kuongezeka.
Halafu mtaambiwa uchumi umekuwa hadi rula zimepotea mitaani
Uchumi wa rula nchi ya viwonder
Hahah!! Hakika mkuu mana sasa hivi itakua ni hitaji la kila mtu
Hahaha…nchi ya viwanda ya upimaji wa samaki kwa rula…
Kwa kuwa hata graph inayoonesha kukua kwa uchumi wa USA ilichorwa kwa rula, basi acha tupime uchumi wetu kwa rula. So, ili kupata uwiano sahihi tutapima kila kitu kwa kutumia rula, tutapima kwanza samaki, ng’ombe, mbuzi, kondoo nk. Alafu baadae tutaendelea kwa makundi mengine yote ili tupate takwimu sahihi na za kuaminika zaidi.
:D:D:D:D:D:D
Nasubiri kuona takwimu za huyu Mzee mwenye anamiliki Komwe…tehteehhh
Huyu wetu bajeti yake haitekelezeki,wamezuia bajeti mbadala ya upinzani kusomwa bungeni,sasa wamekuja na Swaga la kupima wabunge ukimwi ili kutusahaulisha.
Napenda sura ya Trampo akinuna
Ni kama Magufuli tu ; nabii hakubaliki kwao