Tueleweshane tafadhali

Naona badala ya kuchagua form five, pia wanachagua wanaokwenda vyuo. Utaratibu huu umeanza lini? Na maana yake ni nini na applications ambazo zimetangazwa sasa na NACTE.
Msaada please

nadhani hawahitaji kutoa tena second selection…lkn ni mfumo mzuri sana…