Tuhame na ID zetu za zamani

Napendekeza wapinga udikiteita, tunaosemea kukemea maovu yanayoendelea kwetu(mauaji, utekeji, kupigwa risasi, uvunjaji wa haki za binadamu usio kifani, tuhame na ID zetu za JF- TZ. Tuendeleze mijadala hii labda jiwe atasikia na ulimwengu utasikia. Na wastaafu watasikia. Ikibidi na shetani watasikia na kumchukia Jiwe.

Naona baadhi wamehama na ID zao, wengi humu naona ID ngeni.

Hilo naona limefanyika, wengi tumehama na Id zetu toka jf original kuja huku jf academia.

Wewe mbona hujaja nao?

Wengi tumefanya hivyo, ila msichukue id za watu kama alivyofanya anayejiita @Lizaboni maana naona toka alivyoambiwa yeye sio lizaboni halisi naona amesepa.

Na watu hawajui tu, hawa wajinga wanaweza kujifanya ni Mwanga-Lutila na kuporomosha mitusi na baadae wadai kwamba Mwanga-Lutila orijino ndiye katukana.

Hili ni kweli na linaleta sintofahamu hasa namna ya kuzuia lisitokee.

Kikubwa ni mtu mwenyewe kuwa muung’wana kwanini ujifanye Mwanga Lutila ilihali sio Mwanga Lutila?

pambaneni na hali zenu…

Lumumba hakujawahi kuwa na mtu Muungwana hata mmoja!!

Wanakijiji mupooo!!! Villager!! Kuna Senior na,Junior Villager. Sielewi kabisa hii

Mtafute @Mwifwa ama @The Tweet wakupe bakuli, Blanketi, Hema, na wakuoneshe wapi itakuwa ni nyumbani kwako huku ukimbizini. Tupo ukimbizini maswali mengi hayatakiwi. Bora Salama!

mm nimehama na I’d yangu

Id ngeni unazijuaje, wewe ulikuwa unajua member wote wa JF?

Niliona pia #GENTMYCINE katoa lalamiko Hilo la kuibiwa Id kuna watu hawana nia njema

Kwanini uibe ID ya mwengine,tumia ID yako mwanawane!
Nalog off

[FONT=courier new]Kuna Mtu mmoja anajiita @GENTAMYCIN ameiga kila kitu changu na kibaya zaidi anajifanya ananijua sana na nimeshasema kuweni nae makini kwani ni mmoja wa wale Watu ambao wamebatizwa jina la ’ Wasiojulikana ’ na yupo humu kwa ’ Kazi Maalum ’ ya kuwategeni msiokuma makini ili muingie ’ mkenge ’ mkafe mkaokotwe Mto Ruvu au katika Fukwe za Bahari ya Hindi.

Sihusiki nae kwa lolote lile na Mimi ’ Brand ID ’ yangu ni ile ile ya JamiiForums ya GENTAMYCINE na siyo ya huyu ’ Mpumbavu ’ GENTAMYCIN ambaye kwa jinsi anavyonikubali na kuona ’ nakubalika ’ na nimekuwa habari ya mjini nae akaona nafaidi mno hivyo anataka kusafiria nyota yangu na kusahau kwamba kuna Watu wengine tumezaliwa na ’ Shani / Bahati ’ zetu kutoka kwake Mwenyezi Mungu hivyo hata ufanyeje huwezi kunipunguza Kasi au kuniweza.

Na ndiyo maana hata ’ Signature ’ yangu tu inakuambia ’ [COLOR=rgb(184, 49, 47)]Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer '.[/FONT]

Twendeni tukajenge maskani mapya kule bongoforum.com tusisahau kuwashukuru wenyeji wetu kwa ukarimu wao wa kutupa sehemu yetu ya kujibanza na hili gharika la huyu dhalimu.

Wakati tukisubiri kujua hatima ya JamiiForums mambo yote ni kule Bongoforum.com

Si nayo wataifungia kama iko TZ. Weka link

Kuna usemi “ MALAYA HUPENDA KUWAITA WENZIE MALAYA KABLA HAWAJAMUITA YEYE HIVYO”

Nyie vijana wafuasi wa Chadema, mnajua kuwaonyeshea vidole wenzenu, mbona HAMUUONI UDIKTETA CHADEMA, MWENYE KITI WENU HAKUBALI ELECTION YA KITI CHAKE, NA ukijaribu kulizungumzia hilo It alionao last kina CHAHA WANGWE NA ZITTO KABWE

Unatafuta nini huku? Si dikiteita Jiwe mnapenda anayoyafanya, sisi tusiopenda anayoyafanya tumekuja uhamishoni, sasa huku mnatafuta nini. Akili zenu mavi mkojo kabisa. Sitegemei niwaone huku. Mnafurahia kufungwa JF sasa huku mnatafuta nini?

By the way, in passing, topic hii haihusiani na mambo ya madaraka/uenyekiti etc. Off truck kabisa

Dikteta ni Dikteta tuu, hata wewe una dalili hizo. By the way this topic has total relation with how Chadema is run, before you start pointing your finger outwards, first look for inwards into yourselves. Nimekuja huku kwa sababu hii ni Jamii Forum NA sio Chadema Forum

Kuna forums imeanzishwa nenda kule huku hakukufai.
Kule utawakuta Lumumba wenzio.