Tuko pamoja

[ATTACH=full]66771[/ATTACH] Wazee watakula mbuzi alafu wateremushe na Kibao vodka.

1 Like

Kumbe Putin ako telegram? Ameingia hiyo group ya tikteta?

5 Likes

Interesting times ahead. Elections za Russia ni when?

Uwesmakei ameramba 5k rubles

3 Likes

Pale hakuna haja na elections, mzee approval rating yake inamuwanga 90%, hio ingine 10% si pure blood ni mbegu za akina @icecube

1 Like

your avatar say more!!!

Tuko pamoja kaka

He used the real telegram. Many think its obsolete lakini bado Iko. Ata fax bado ziko in certain institutions Kenya, like banks

https://www.engadget.com/2016/11/09/putin-congratulates-trump-with-telegram/

1 Like

tuko pamoja