Tuliotoka JamiiForums tukutane hapa...

Baada ya JamiiForums kufunga huduma yake kutokana na notisi ya TCRA kwa muda usiojulikana.
Tuliotoka huko njooni tujadiliane hapa…

Mimi hapa mkuuu

Welcome. Ada ni Tshs 380 a week. Mimi ndiye naokota ada

Pamoja sana Mkuu. leo siku yangu imekua ndefu sana bila Jamii forums

Tunatumaje hiyo ada?

Aisee sijui hii dhahma itaisha lini Mkuu.

Haya basi binadamu mwenzangu fika hiyo kichorochoro upigwe miti.

:D:D:D @T255 @Mtanzania Magufuli @Sensiminia mpo area? karibisheni ndugu zenu…
[ATTACH=full]175241[/ATTACH]

Mkuu ulitaka kusemaje?

karibuni lakini udaku na mauongo ya wa TeeZee muache huko Arusha…

So an influx of @T255 and that other guy who promo hizi YT…
[ATTACH=full]175242[/ATTACH]
[ATTACH=full]175243[/ATTACH]

wasenge memekuja kufanya nini huku? Lrudini mrlitkotoka na si tafadhalri

otherz ni kitu gani? kama nani?

@MISCHIEF matusi ya nini tena.

Ooh ahsante,udaku tunauacha huku Tanzagiza.

Hawa jamaa wametuweza… sijui nini hatma yake hivi Jf wameshindwa kulipa hiyo ada yao au kuna mashart mengine ambayo sisi hatuyajui?

lugha ya aina hii na ile ingine ya xaxa ni mjinga mmoja tu amekubaliwa kuongea kwa hii jukwaa. wengine twatarajiwa tuongee kiswahili au kiingereza ili kurahisisha maelewano.

Mwadire…

@admin undia hawa watu subforum yao

hakuna haja ya ubaguzi wacha tuone maarifa waliokuja nayo bora hamna maringo ya supadip lens…